
Mlinda lango wa Simba Aishi Manula ameshinda tuzo ya golikipa bora Ligi kuu wa Tanzania Prisons na Harun Mandanda wa Mbeya City.
Pia Aishi Manula ameshinda tuzo ya golikipa bora wa mashindano ya shirikisho (ASFC) na kuwashinda Farouk Shikhalo wa Yanga na James wa Biashara United.
