Close Menu
Kenyanpulse
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kenyanpulse
    • Home
    • Trending
    • Politics
    • Entertainment
    • Sports
    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • About us
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Trending Topics:
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Kenyanpulse
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Home » RIPOTI ZAIDI KUHUSU MAUAJI YA TIROP
    Sports Trending

    RIPOTI ZAIDI KUHUSU MAUAJI YA TIROP

    Kevin OkumuBy Kevin OkumuOctober 21, 2021Updated:March 8, 2022No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest Copy Link Telegram LinkedIn Tumblr Email
    Picha/Hisani
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email
    Picha/Hisani

    RIPOTI ZAIDI KUHUSU MAUAJI YA AGNES

    TIROP MWANARIADHA
    HABARI ZAIDI ZINAENDELEA KUIBUKA KUTOKA KWA UCHUNGUZI
    KUHUSU MAUAJI YA MWANARIADHA AGNES TIROP IKIIBUKA KUWA
    MUME WAKE IBRAHIM ROTICH ALIWACHA NYUMA BARUA KABLA YA
    KUTOROKA.

    POLISI WAPATA BARUA ALIYOANDIKA MUMEWE AGNES TIROP
    AKIKIRI KUMUUA MWILI WA TIROP ULIPATIKANA NYUMBANI KWAKE
    ITEN, JUMATANO, OKTOBA 13, NA MAJERAHA YA KISU NA KUKISIWA
    KUTEKELEZWA NA MPENZI WAKE IBRAHIM ROTICH.

    KATIKA BARUA HIYO, ROTICH AMBAYE NI MSHUKIWA MKUU WA
    MAUAJI HAYO ALIFICHUA KUWA NDOA YAO ILIKUWA NA UGOMVI WA
    KILA MARA, POLISI WALISEMA. AFISA MKUU WA UPELELEZI WA
    KEIYO KASKAZINI ANDOLO MUNGA ALIFICHUA KUWA MAKACHERO
    WAMEKUSANYA USHAHIDI WA KUTOSHA UNAOMUHUSISHA NA
    MAUAJI YA MAREHEMU MWENYE UMRI WA MIAKA 25.

    MUNGA ALIONGEZEA KUWA MSHUKIWA ALIKUWA NA NIA YA
    KUMUUA TIROP. KUKIRI KWA ROTICH KUNATHIBITISHA USHAHIDI WA
    MARAFIKI ZAKE KUWA TIROP ALIKUWA MWATHIRIWA WA DHULUMA
    YA KIJINSIA.

    ROTICH AWALI ALIKUWA AMEKIRI KUMUUA MPENZI WAKE.
    KULINGANA NA KAMANDA WA POLISI WA KEIYO NORTH, TOM
    MAKORI, BABA YAKE TIROP JIONI YA JUMANNE, OKTOBA 12, ALIPIGA
    RIPOTI KUWA MWANARIADA HUYO AMETOWEKA. SIKU YA
    JUMATANO, OKTOBA 13 MWENDO WA SAA TATU ASUBUHI, MAKORI
    ALISEMA ROTICH ANARIPOTIWA KUWAPIGIA WAZAZI WAKE SIMU NA
    KUWAFAHAMISHA KUWA NDIYE ALITENDA KITENDO HICHO CHAA
    KINYAMA NA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU MSAMAHA.

    BAADA YA SIMU HIYO, FAMILIA YA MAREHEMU NA MAJIRANI
    WALIKIMBIA NYUMBANI KWAKE NA KUPATA MWILI WAKE UMELOWA
    DAMU KITANDANI. MWILI WA TIROP ULIKUWA NA MAJERAHA YA
    KISU TUMBONI. DURU ILIDOKEZEA WANAHABARI KUWA TIROP
    ALIKUWA NA MVUTANO NA MUME WAKE NA KUPIGANA KILA MARA.
    WAWILI HAO WANARIPOTIWA KUPATANISHWA MARA KADHAA NA
    FAMILIA NA MARAFIKI

     

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email Copy Link
    Previous ArticleBars and Restaurants to be Closed at 11:00pm – CS Kagwe Announces
    Next Article Mlinda lango wa Simba Aishi Manula ameshinda tuzo ya golikipa bora Ligi kuu wa Tanzania
    Kevin Okumu
    • Website

    Related Posts

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    January 9, 2026

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    November 5, 2025

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    November 5, 2025
    LATEST POSTS

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal

    Celebrated Singer Stivo Simple Boy Marries His Love Brenda in a Beautiful Ceremony

    Former DP Gachagua Exposes CS Who Was Photographed With Drug Trafficker

    Uasin Gishu Man Who Wedded At His Old Age Dies Peacefully, Wife Pays Him Emotional Tribute

    POPULAR
    • “Anawadanganya Na Simu Anawapatia Mimba” Fernandes Barasa’s Wife Exposes An Assistant Chief For Impregnating Teenagers
    • Cristiano Ronaldo aonyesha umwamba wake.
    • Lanes: Bahati And His Wife Diana Marua Throw Their Daughter A Multimillion Birthday Party
    • Tamko la klabu ya Young Africans SC kuhusu adhabu waliyopewa na (CAF) Klabu ya Yanga SC kupitia kwa
    • People Think I Killed Jeff But I Know I Can’t Kill – DJ Fatxo

    HIGHLIGHTS
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    Recent Posts
    • KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score
    • Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race
    • RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation
    • RIP: Famous Former Machachari Actress Dies
    • How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    • Disclaimer
    • Privacy Policy
    © 2026 Kenyanpulse.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.