
Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye klabu bingwa Afrika (Caf Champions League) klabu ya Simba leo October 24 itashuka kwenye dimba la Mkapa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kucheza mchezo wa mkondo wa pili ya Jwaneng Galaxy ya Botswana.
Iwapo Simba itafanikiwa kuitoa Jwaneng utafuzu moja kwa moja makundi ya CAF Champions League. Kila la kheri Simba kila la kheri Tanzania uwezo mnao na mechi mliimaliza kwao msije mkabweteka na matokeo mnatakiwa kufuzu kwa heshima nyie kwa sasa ni timu Afrika.
