Picha kwa hisani ya Simbasc Tanzania ( ukurasa wa Instagram)
Klabu ya Simba imepangwa kucheza hatua ya mtoano ya michuano ya Shirikisho Afrika na Klabu ya Red Arrows ya Zambia. Mechi zitachezwa mwezi wa 12 mwaka huu na Simba watacheza mechi ya Kwanza jijini Dar es salaam.