
Klabu ya Yanga SC inahusishwa kufanya mazungumzo ya kutaka kumsajili nahodha wa klabu ya Rivers United Esor Nelson mwenye umri wa miaka 24.
Kiungo Esor ni yule jamaa aliyepiga chenga ya maudhi hadi ndaani ya box Ugani Mkapa.
Klabu yake ya Rives United inamlipa Ysh Milioni 7 kwa mwezi katika klabu yake.
Klabu ya Yanga SC mpaka sasa bado inanafasi mbili (2) za kufunya isajili wa wachezaji wa kigeni.
