Mwanadada mmoja wa Nigeria kwa jina la Ihechi Mary amewaacha watu wengi mdomo wazi baada ya kufunga ndoa Kisha kupost picha zenye utata toka chumba alicholala na mumewe.
Sababu yake ya kupost ni kuthibitishia wabaya wake na wanaume waliowahi kumtongoza akawakataa kulala nao kwamba alikuwa anautunza usichana wake hadi atakapoolewa.
Anadai mengine walikuwa hawamini kuwa kajitunza hadi ndoa hvyo amewapa uthibitisho.
Watu wamempongeza kwa kujitunza lakini hata hivyo wengi wamemkaaga kwa kumwambia kijipost picha zenye utata toka chumbani mashuka yakiwa hayopo sawa ili tu kuthibitishia watu kuwa alijitunza haikuwa sahihi.
MWANAMKE MMOJA KUTOKA NCHINI NIGERIA KASHANGAZA WENGI MTANDAONI BAADA YA KUPIGA PICHA NA MUMEWE WAKIWA CHUMBANI SIKU CHACHE BAADA YA KUFANYA HARUSI.
Previous ArticleRONALDO IS THE GREATEST PLAYER IN THE WORLD WITH MOST MAJOR RECORDS IN CHAMPIONS LEAGUE HISTORY
Next Article Obama once said powerful words

