- BWANA HARUSI APATA MAJERAHA BAADA
YA KUKOSA KUKABWA NA MARAFIKI
WALIPO MRUSHA JUU
Bwana harusi aligeuka kuwa mgonjwa katika hafla yake
ya harusi baada ya kuangukia kichwa chake
Bwana Harusi Avunjika Mgongo Baada ya Marafiki
Kumrusha na Kuhepa Kumdaka Kisa hicho kilitokea katika
harusi moja kaunti ya Bihor, Kaskazini Magharibi mwa
Romania wiki moja iliyopita. Kwa mujibu wa The Sun,
bwana harusi huyo aliporushwa hewani mara ya kwanza,
alidakwa lakini katika jaribio la pili aliangukia kichwa na
kumsababishia jeraha mbaya
Mwandishi wetu karani philemon ametambua kuwa
marafiki hao walimubeba haraka na kumuweka kwenye
gari, hatua ambayo madaktari walisema ilifanya mambo
kuwa mbaya zaidi. Video fupi iliyopakiwa kwenye YouTube
na Short News inamuonyesha bwana harusi huyo
akiangukia kichwa chake katika hali ya kushangaza.
Bijourjust iliripoti kuwa sherehe hiyo ya harusi iliendelea
licha ya kisa hicho huku bibi harusi na familia zote
zikiwaburudisha wageni. Daktari wa hospitali ambapo
bwana harusi huyo alipelekwa kwa matibabu alizungumziaa
photo courtesy
Bwana Harusi apata majeraha
Previous ArticleMzee wa Kijiji aaga baada ya kushambuliwa na Nyuki
Next Article WANYAMA RESIGNS FROM INTERNATIONAL FOOTBALL
