
Chama cha soka barani Afrika leo hii imetoa ratiba ya makundi ya michezo ya kombe la Shirikisho pamoja na michezo ya Klabu bingwa Afrika.
Klabu ya Simba , ambao ndo wawakilishi pekee wa ukanda wa Afrika ya mashariki. Simba walifuzu hatua ya makundi baada ya kuitoa klabu ya red arrows ya nchini Zambia.
Michezo ya makundi itachezwa kuanzia mwezi wa pili mwakani(2022). Vilabu vingine vikubwa katika michuano hii ni Tp Mazembe, Orlando pirates, pyramids,Rs Berkane.
Kwa uwepo wa Simba katika michuano hii itaongeza ufuatiliaji wa michezo hii haswa katika mitandao ya kijamii. Na pia Simba watamkaribisha mchezaj wao wa zamani Claotus Chama anayechezea Klabu ya Rs Berkane ya Morocco.
