Mwanasoka tajiri zaidi duniani Christiano Ronaldo ametantangaza kuwa anatarajia kupata watoto mapacha hivi karibuni.
Staa wa Manchester United na timu ya taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo anatarajia kupata mapacha pamoja na mpenzi wake Georgina Rodriguez. Mapacha hao watafanya nyota huyo kufikisha idadi ya watoto sita.
Mpaka sasa Nyota huyo ana watoto wa 4 kwa uwezo wa Mungu anatarajia kuwa baba ya watoto 6
Ndoto ya Ronaldo ni kufikisha watoto Saba kama namba ya jezi anayoivaa akiwa uwanjani. Ronaldo anapambana kote kote.