Close Menu
Kenyanpulse
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kenyanpulse
    • Home
    • Trending
    • Politics
    • Entertainment
    • Sports
    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • About us
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Trending Topics:
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Kenyanpulse
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Home » Ahmed Ally: Simba tunapitia msoto lakini hatutamaliza kinyonge
    Sports

    Ahmed Ally: Simba tunapitia msoto lakini hatutamaliza kinyonge

    Kevin OkumuBy Kevin OkumuMay 23, 2022No Comments2 Mins Read
    Share Facebook Twitter Pinterest Copy Link Telegram LinkedIn Tumblr Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Meneja wa habari na mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally amesema Simba kwasasa inapitia kwenye kipindi kigumu ambacho timu nyingi kubwa huwa zinapitia hata hivyo amewaambia mashabiki na wanachama wa Simba kuwa hawatamaliza ligi kinyonge

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ahmed Ally ameandika

    “..Imewalazimu AC Millan kusubiri miaka 11 wakiutafuta Ubingwa wa Italia (Serie A)

    Wamebadilisha wachezaji wengi, na wamebadilisha makocha wengi hatimae Stefano Pioli amekuja kuwafuta machozi

    Kocha Pioli aliyewapa ubingwa hakua chaguo la mashabiki wa AC Millan, walimkataa tangu siku ya kwanza ya uteuzi wake

    Mabango yalitawala kila kona ya Sansiro yameendikwa Pioli Out lakini baada ya muda mabango yaleyale yakaandikwa Pioli you are hero

    Kwenye mpira timu kubwa hupitia MSOTO, AC Millan wamepitia msoto wa miaka 11

    Vivyo hivyo kwa timu yetu Simba msimu huu tunapitia MSOTO

    Na mara nyingi msoto hua unapatikana baada ya mafanikio makubwa kwenye timu

    Zipo sababu nyingi zinazopelekea timu kupitia wakati mgumu, kwanza kuchoka kwa wachezaji, kupotea kwa kiu ya mafanikio, kupungua ubora kwa wachezaji au majeruhi yaliyotokana na wachezaji kutumika kwa muda mrefu

    Kitu muhimu ni kutambua mapema kwanini unapitia wakati mgumu, utafute suluhu ya haraka ili MSOTO usiwe mrefu kama wa AC Millan

    Wana Simba wenzangu msifadhaishwe na mapito haya na wala msibabaishwe na kelele za malimbukeni

    Wao wamepitia msoto mkali wa miaka mitano ambapo Simba hatuwezi kusota kwa kiwango hicho Insha Allah

    Pamoja na yote lakini hatutamaliza msimu kinyonge”

    Simba wamepata alama 2 kwenye michezo miwili iliyopita ya ligi kuu ya NBC na kuzima ndoto za kutetea taji hilo msimu huu.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email Copy Link
    Previous ArticleDjuma Shabani na Yannick Bangala kusepa Yanga? Wakala wao afunguka
    Next Article Pyramids yaingilia dili ya Yanga kwa Aziz Ki…Mamelodi, Kaizer na Tp Mazembe wanamtaka pia.
    Kevin Okumu
    • Website

    Related Posts

    Michael Olunga from Lucky Summer to Football Stardom and Wealth

    September 20, 2025

    Dani Sserunkuma the Goal Machine Who Shaped East African Football

    September 19, 2025

    Arsenal Fans Left in Awe After Zubimendi’s Rocket Strike and Sensational Team Display

    September 13, 2025
    LATEST POSTS

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal

    Celebrated Singer Stivo Simple Boy Marries His Love Brenda in a Beautiful Ceremony

    Former DP Gachagua Exposes CS Who Was Photographed With Drug Trafficker

    Uasin Gishu Man Who Wedded At His Old Age Dies Peacefully, Wife Pays Him Emotional Tribute

    POPULAR
    • Altercation between Russia and NATO vindicates Realism Theory of international relations
    • From Schooling Barefooted to Citizen TV Sultana Actres: Story of Mwanasha Johari “Sultana”
    • Governor Nyong’o Rejects Senator Kajwang’s Proposal to Reduce Number of Counties
    • “Leo Ni Machozi” Lulu Hassan Leaves Kenyans Crying After She Revealed These
    • The Pluto Purchases Yet Another Multimillion Car Leaving Netizens Talking

    HIGHLIGHTS
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    Recent Posts
    • KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score
    • Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race
    • RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation
    • RIP: Famous Former Machachari Actress Dies
    • How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    • Disclaimer
    • Privacy Policy
    © 2026 Kenyanpulse.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.