
Klabu ya Aston Villa imwachisha Mkufunzi wake Dean Smith baada ya kudumu naye kwa miaka mitatu.
Mkurugenzi Mkuu wa Bila Christian Purslow amethibitisha hilo na kusema ”Smith alipojiunga nasi October 2018,klabu haikuwa kwenye hali nzuri lakini alifanikiwa kunipeleka kwenye mafanikio mazuri sana,hata hvyo baada ya kuanza vizuri katika msimu uliopita,msimu huu hatujafanikiwa kuona matokeo,utendaji pamoja na nafasi nzuri katika ligi Kama tulivyotarajia.
