Close Menu
Kenyanpulse
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kenyanpulse
    • Home
    • Trending
    • Politics
    • Entertainment
    • Sports
    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • About us
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Trending Topics:
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Kenyanpulse
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Home » Mayele karogwa,Wazee wafunguka mchezo mzima ulivyokuwa
    Sports

    Mayele karogwa,Wazee wafunguka mchezo mzima ulivyokuwa

    Kevin OkumuBy Kevin OkumuMay 19, 2022No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest Copy Link Telegram LinkedIn Tumblr Email
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Baada ya mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Fiston Kalala Mayele kushindwa kufunga katika michezo minne,baadhi ya wazee waliojitambulisha kuwa wanachama wa Yanga wameeleza chanzo cha yote na namna ilivyokuwa.

    Wazee hao ambao hawakutaka majina yao kuandikwa wamesema Mayele akiwa kwenye moja ya michezo ya ligi kuu,baada ya kumaliza mchezo alibadilishana jezi na mchezaji (hawakumtaja) wa timu pinzani Kisha mchezaji huyo kuondoka na hiyo jezi bila kuivaa na alikwenda kuiweka kwenye mfuko haraka haraka ikiwa bado na jasho na kuipeleka kwa mtaalamu waliekuwa nae kwenye gari siku ya mchezo huo.

    Hata hivyo wazee wamesema wamefanya waliyoweza kufanya kurudisha uwezo wa Mayele kufunga na kuanzia mechi ijayo Mayele ataendelea kufunga kama kawaida

    “Mchezo mzima tumeshaumaliza na kuanzia mechi ijayo Mayele ataendelea kutetema ila naomba kutoa tahadhari kwa yule aliyechukua jezi ya Mayele arudishe” Alisema Mzee mmoja kwa kujiamini.

    Mzee mwingine alienda mbali zaidi na kusema kwa namna walivyofanya ana uhakika Mayele atafunga na kufikisha hadi mabao 20, Kisha akasema Mayele asipofunga mechi ijayo yuko tayari kuchoma kilinge.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email Copy Link
    Previous ArticleMessi times in Africa!
    Next Article Scriptures which prove some of Jesus disciples were married
    Kevin Okumu
    • Website

    Related Posts

    Michael Olunga from Lucky Summer to Football Stardom and Wealth

    September 20, 2025

    Dani Sserunkuma the Goal Machine Who Shaped East African Football

    September 19, 2025

    Arsenal Fans Left in Awe After Zubimendi’s Rocket Strike and Sensational Team Display

    September 13, 2025
    LATEST POSTS

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal

    Celebrated Singer Stivo Simple Boy Marries His Love Brenda in a Beautiful Ceremony

    Former DP Gachagua Exposes CS Who Was Photographed With Drug Trafficker

    Uasin Gishu Man Who Wedded At His Old Age Dies Peacefully, Wife Pays Him Emotional Tribute

    POPULAR
    • The perceived notion of king David’s illigitimacy explained!
    • READ TODAY’S NEWSPAPERS THURSDAY APRIL 07,2022
    • Raila Odinga’s Political Realignment: A Return to Azimio with Full Mt. Kenya Backing?
    • AFC Leopards Coach Tomas Trucha Faces Uncertain Future After Ulinzi Stars Defeat
    • OSCAR SUDI WELCOMES RAILA IN ELDORET

    HIGHLIGHTS
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    Recent Posts
    • KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score
    • Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race
    • RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation
    • RIP: Famous Former Machachari Actress Dies
    • How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    • Disclaimer
    • Privacy Policy
    © 2026 Kenyanpulse.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.