Klabu ya Astonvilla imemtangaza aliyekuwa nohodha wa miamba wa soka duniani klabu ya Liverpool Steven Gerrard kuwa kocha wao mkuu.
Gerrard anachukua nafasi ya Dein Smith aliyetimuliwa wikendi iliyopita baada ya Astonvilla kuwa na matokeo mabovu katika Ligi kuu nchini Uingereza.
Gerrard baada ya kustafu Liverpool akielekea Uskoti na kuwa kocha mkuu wa miamba wa soka Scotland Klabu ya Rangers na kushinda mataji mawaili na timu hiyo baada ya msururu mresfu ya bila taji.
Karibu katika Ligi kuu ya Uingereza gwiji na kapteni wa zamani wa majogoo wa jiji Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza