Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email PICHA/Hisani MICHEZO Koch Mkuu wa Barcelona B, Sergi Barjuan ametangazwa kuwa kocha wa muda wa kikosi cha Barcelona baada ya jana usiku aliyekuwa kocha mkuu Ronald Koeman kufutwa kazi,huku xavi akitarajiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu muda wowote
Arsenal Fans Left in Awe After Zubimendi’s Rocket Strike and Sensational Team DisplaySeptember 13, 2025