Cristiano Ronaldo amefunga hattrick yake ya 10 katika mechi ya timu ya taifa ya Ureno katika mchezo wa Jana wa kufuzu kombe la dunia nchini Qatar mwakani(2022). Ureno wakiifunga Luxemburg mabao 5-0. Sasa Ronaldo amefikisha mabao 115 ya kimataifa akiwa na timu yake ya taifa