

Michezo ya Klabu bingwa ulaya imeendelea Leo katika viwanja mbalimbali. Matajiri wa Paris Klabu ya PSG imeifunga Leipzig the a Ujerumani kwa mabao 3-2. PSG walitanguliwa kufungwa maholi mawili kabla ya Lionel Messi kufunga magoli mawili na kuiwezesha Klabu yake kuibuka na ushindi. Kwingineko Klabu ya Liverpool imewafunga Atletico Madrid jumla ya mabao 3-2 katika uwanja wa Wanda metropolitano jijini Madrid. Mohamed Salah amefunga magoli mawili na kuiwezesha Klabu yake kupata ushindi.matokeo mengine ni kama ifuatavyo. Shakhtar 0- 5 Real Madrid. Fc Porto 1-0 Ac Milan. Club brugge 1-5 Man city. Ajax 3-0 Dortmund.