Close Menu
Kenyanpulse
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kenyanpulse
    • Home
    • Trending
    • Politics
    • Entertainment
    • Sports
    • Privacy Policy
    • Disclaimer
    • About us
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Trending Topics:
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Kenyanpulse
    • Ruto
    • Raila Odinga
    • William Ruto
    • Ugandan celebrity news
    • WorldcupQualifier
    • Liverpool
    • Kenya kwanza
    Home » Baada ya kumaliza utata wake wa Uraia mshambuliaji wa Simba Kibu Denis ameongezwa kwenye kikikosi cha timu ya Taifa Stars
    Business Entertainment Sports Trending

    Baada ya kumaliza utata wake wa Uraia mshambuliaji wa Simba Kibu Denis ameongezwa kwenye kikikosi cha timu ya Taifa Stars

    Kevin OkumuBy Kevin OkumuOctober 5, 2021Updated:February 24, 2022No Comments1 Min Read
    Share Facebook Twitter Pinterest Copy Link Telegram LinkedIn Tumblr Email
    Kibu Denis
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email
    Kibu Denis

    Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi ya Tanzania, George Simbachamwenge amesema kuwa serikali imempatia uraia wa Tanzania mashambulizi wa klabu ya Simba Sc,Kibu Denis kwa mujibu wa Sheria ya Uraia,Sura 357 (Rejeo la 2002),baada ya kupokea ombi kutoka TFF kupitia Wizara ya Sanaa,Utamaduni na Michezo.

    Waziri Simbachamwenge amesema uraia wa asili wa Kibu Denis alikuwa raia wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo (DRC), lakini amekuwepo nchini Tanzania tangu mwaka wa 1998,akiwa na umri wa miaka sita,baada ya wazazi wake kukuambia machafuko ya kisiasa nchini humo.

    Ameongeza kuwa mchezaji huyo amekuwa na nyaraka zinazoonyesha ni raia wa Tanzania, iliwemo kitambulisho cha uraia,kwani yeye alikuwa anajijua ni Mtanzania kutokana na kuongia nchini akiwa na umri mdogo,na hana historia yoyote na nchini yake ya asili zaidi ya kukalia Tanzania.

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email Copy Link
    Previous Article,Kibwana Shomary ameitwa katika timu ya Taifa Ya Tanzania
    Next Article How the European top leagues stand as the international break resumes this week
    Kevin Okumu
    • Website

    Related Posts

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    January 9, 2026

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    November 5, 2025

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    November 5, 2025
    LATEST POSTS

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal

    Celebrated Singer Stivo Simple Boy Marries His Love Brenda in a Beautiful Ceremony

    Former DP Gachagua Exposes CS Who Was Photographed With Drug Trafficker

    Uasin Gishu Man Who Wedded At His Old Age Dies Peacefully, Wife Pays Him Emotional Tribute

    POPULAR
    • Altercation between Russia and NATO vindicates Realism Theory of international relations
    • From Schooling Barefooted to Citizen TV Sultana Actres: Story of Mwanasha Johari “Sultana”
    • Governor Nyong’o Rejects Senator Kajwang’s Proposal to Reduce Number of Counties
    • “Leo Ni Machozi” Lulu Hassan Leaves Kenyans Crying After She Revealed These
    • The Pluto Purchases Yet Another Multimillion Car Leaving Netizens Talking

    HIGHLIGHTS
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race

    RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation

    RIP: Famous Former Machachari Actress Dies

    Recent Posts
    • KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score
    • Tension As Gladys Wanga Warned Against Helicopter Travel Amid Assassination Threats Over 2027 DP Race
    • RIP: Kenyans Mourn Charity Chebet Killed In Landslide Hours After Graduation
    • RIP: Famous Former Machachari Actress Dies
    • How a Nairobi Businessman Lost Sh6.3 Million to Kytabu’s Tonee Ndungu in a Botched Startup Deal
    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    Trending

    KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her Score

    romaxdesignsJanuary 9, 2026

    Education Cabinet Secretary Julius Ogamba released the exams for 993,226 candidates on Friday, January 9,…

    • Disclaimer
    • Privacy Policy
    © 2026 Kenyanpulse.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.