
Kiungo wa Klabu ya Simba Sc Jonas Mkunde anaendelea na mazoezi na Klabu yake ya Simba kujianda na mchezo wa mkondo wa kwanza klabu bingwa Afrika§ (CAF Champions League)dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana October 17.
Mkunde hajajiunga na timu ya taifa Stars baada ya kuliomba benci la ufundi asijiunge kwa sababu hayupo sawa.
