Galas ashangazwa
Mchezaji wa zamani wa Chelsea ambaye pia aliichezea Arsenal ameshangazwa sana na klabu ya Arsenal kutumia £50m kwa beki Benjamin white..
Ni vigumu sana kuelewa kwanini Arsenal wametumia £50m kwa mchezaji ambaye bado hajaonesha kiwango chake huku klabu kama man u kutumia £40m kwa mchezaji kama varane,nahisi tu kwa vile Ben white ni muingereza…”
photo courtesy
