Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Picha kwa hisani ya mtandao Timu ya taifa ya Uingereza imepigwa faini ya kucheza michezo miwili ya nyumbani bila mashabiki pamoja na faini ya Euro £100000 kwa kukutwa na makosa ya ghasia na vurugu katika fainali ya michuano ya Euro2020 yaliyofanyika katika uwanja wa Wembley.
KCSE Results 2025: Nairobi Father Overjoyed as Daughter Passes Exam, Reveals Her ScoreJanuary 9, 2026